Usiku wa jana timu ya Taifa ya Morocco ambayo iliwekewa asilimia kubwa kuendelea kubaki kwenye mashindano ya AFCON imeondolewa kwenye michuano hiyo kwa kukubali kichapo cha goli mbili dhidi ya Afrika Kusini.

Mchezo wa Robo fainali ya pili utachezwa ijumaa ukikutanisha timu za:-
1. Cape Verde vs Afrika Kusini
2. Mali vs Ivory Coast
3. Congo DR vs Guinea
4. Nigeria vs Angola.