Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Chiristina Mndeme amemwagiza katibu tawala wa mkoa huo Profesa, Siza Tumbo, kuwaondoa katika kituo cha kazi mganga mkuu hospitali ya Manispaa Ya Kahama Dk Josephat Shani na mganga mfawidhi Dk Deo Nyaga, baada ya kutokea kwa tukio la kifo cha mjamzito Rachel Wiliam ambaye alipoteza maisha na kichanga chake kwa kucheleweshewa huduma na watumishi hao.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz