Staa wa muziki Naira Marley ameeleza mengi juu ya kuhusishwa na kifo cha Mohbad, katika maohojino aliyofanya msanii huyo ameweka wazi kutokuhusika lakini pia ameitaka serikali ya Nigeria kumhakikishia usalama iliaweze kurejea hapo kwaajili ya kusaidia kuchunguza wa mauaji yua msanii huyo.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz