Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Video ya Enjoy imerejea YouTube

Staa wa muziki, Jux ameweka wazi video ya ENJOY imerejea kwenye akaunti yake ya YouTube. Ngoma hiyo amefanya na Diamond Platnumz ila wiki kadhaa msanii wa muziki kutoka Congo, Sapologuano aliripoti YouTube  iondolewa kwa kile alichodai ameibiwa melody za wimbo wake wa I fond Love.

Mpaka sasa video hiyo inawatazamaji Milioni 16 YouTube huku TikTok ilifikisha Bilioni moja.Video hiyo imeongozwa na @fole_x, huku S2kizzy akiwa ndio producer.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *