Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mh.Jenista Mhagama hii lEo Desemba 8,2023 amefika katika shule ya Sekondari Katesh kwa lengo la kuwajulia hali na kutazama namna utoaji wa huduma unavyoendelea kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang wilayani Hanang Mkoani Manyara.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz