Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Usichokijua kuhusu MB Dogg na maisha yake

Mbwana Mohammed Ali anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama MB Dogg  amezaliwa 28 Agosti 1983 ni msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania.

MB Dog ambaye alimaliza elimu ya msingi mwaka 1997 katika Shule ya Msingi ya Mabibo na kwa sasa ni baba wa watoto wawili ambao ni Diginaa na Warda wanaoishi katika mitaa ya Tegeta jijini Dar es Salaam.

MB dogg alianza muziki miaka 2004 kisha miaka mitano baada akapotea ghafla ila wakati huo alikuwa akifanya muziki chini ya Tip Top Connection.

Na ngoma ambayo ilimuweka kwenye ramani ni Ngoma ya Latifa hii ilitoka 2004.

Album yake ya kwanza ilifahamika kama SI ULINIAMBIA hii ilitoka 2006. na ilikuwa na Ngoma 9.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *