Jina lake kamili ni Rehema Chalamila aka Ray c. au Kiuno hakina mfupa… Ni msanii wa muziki kutoka Tanzania ambaye amezaliwa Mei 15, 1982 huko Iringa.
Kabla ya kujihusisha na Muziki, Ray C aliwahi kufanya kazi kama Mtangazaji katika kituo cha radio huko jijini Dar es Salaam.
Ray C alianza kufahamiaka kwenye game mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003 alitoa Albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la “Mapenzi Yangu”.