Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Video: Usichokijua kuhusu mrembo huyu

Mwanamazoezi na mwalimu wa mazoezi, Loveness Tarimo amefunguka kuwa awali alikuwa akicheza Mpira wa miguu.

Loveness amebainisha hayo kwenye Power Fresh ya Jambo FM, “Nilianza kupenda mazoezi ya kwenda Gym, baada ya kuacha kucheza Mpira.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *