Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Tundu Lissu akutana na Mzee Dewji

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Tundu Antipas Lissu amekutana na Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji na kufanya mazungumzo na kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

https://youtu.be/apKj_eZ6dfc

Ikumbukwe Mzee Azim Dewji kwa wiki kadhaa zilizopita alizungumza na vyombo vya habari na kumsihi Tundu Lissu kumuomba radhi Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko baada ya maandamano ya CHADEMA yaliyofanyika jijini Mbeya Februari 20, 2024 kutokupisha msafara wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *