Watu Wengi hutupa taka bila kuwa na fikra ya kwamba wakati mwengine taka taka hizo huwa na thamani na zinaweza kuwa kama kitega uchumi kwa wengine katika jamii mbalimbali.
Jambo FM inakukutanisha na vijana kutoka matawi tofauti mkoani Dodoma ambao wamekuwa wakipata kipato kupitia ukusanyaji taka kabla ya uchakataji.