Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Antonia Sangalali amelazimika kufunga safari kutoka Masafa ya Maisha Fresh 101.5Mhz Jambo Fm mkoani Simiyu na kuja kumsikiliza Chifu Hangaya Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na wana Manyara.
Kupitia video hii anaeleza maoni yake juu ya kilichofanywa na serikali pamoja wazee katika kuwafariji wahanga wa maporomoko ya tope katkka mji mdogo wa Katesh.