Mume wa marehemu Haitham, Niite Boshen kupita ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ameweka wazi kuumizwa vibaya na mtu ambaye alimtafuta kwa ajili ya kazi ya kuchora tattoo aliyekuwa na nia mbaya naye na kupeleka kudhurika katika baadhi ya sehemu za mwili wake.

“Ndugu zangu, Jana nilipokea simu ya mteja aliyehitaji kuchora tattoo. Baada ya makubaliano, nilienda mpaka alipo. Kwa bahati mbaya ulikuwa ni mchezo wa mtu huyo, aliyetaka kunikomoa kama sio kunimaliza,”ameandika Boshen