Mama mzazi wa kijana Joathan James, Rucia John, mkazi wa Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga amesimulia tukio la mtoto wake kutumbukia na kufariki kwenye kisima cha kuchota maji.
Naye Babu wa kijana Joathan James, Mzee John Maskio, amesimulia namna alivyojitahidi kuokoa Maisha ya mjukuu wake.