Waziri mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye ni miongoni mwa viongozi waliojitokeza katika viwanja vya shule ya msingi Katesh,Hanang Manyara kumpokea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
Mara baada ya kuisikiliza hotuba ya Rais akatoa maoni yake kuhusiana na hotuba hiyo pamoja na ushauri kwa Watanzania juu ya umuhimu wa utunzaji wa Mazingira.