Baadhi ya waendesha vyombo vya moto wanaotumia barabara ya Benjamin Mkapa katika Manispaa ya Shinyanga wamelalamikia changamoto ya uwepo wa mashimo mengi katika barabara hiyo hali inayohatarisha usalama wao,abiria pamoja na vyombo vyao vya usafiri.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz