VIDEO; Lita 300 za mafuta mradi wa SGR zakamatwa

Jeshi la polisi kikosi cha Reli Tanzania limefanikiwa Kukamata zaidi ya lita mia tatu za mafuta ya dizeli yaliyoibiwa katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR huku jeshi hilo likiendelea kuwashikilia baadhi ya watuhumiwa wanaodhaniwa kujihusisha na matukio mbalimbali ya wizi katika mradi huo.

Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi kikosi cha Reli Tanzania kamishna msaidizi wa polisi Sebastian Mbuta amesema mafuta hayo yalikamatwa wakati jeshi hilo likifanya doria katika maeneo mbalimbali ya mradi huo ndipo walipowakuta watuhumiwa wanne wakiwa na madumu manne ya dizeli na baada ya watuhumiwa kuhojiwa walikiri kuhusika na wizi wa shehena nyingine ya mafuta ambayo tayari walikuwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *