Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Video: Kolabo ya Harmonize na Rayvanny

Usiku wa jana katika sherehe ya kukabithiana tuzo ya AEAUSA, iliyofanyika Ofisi za Konde Gang, Harmonize na Rayvanny walitoa majibu juu ya ujio wa kolabo yao.

Katika swali walilojibu kutoka kwa mwandishi kuwa je! Kuna mpango wa wawili hao kuja na kazi ya pamoja, maana watu wanatamani kuona kolabo, ndipo wakaishia kutabasamu na kusema aah aah mamamaama hiyo ipoo…

Wawili hawa kufanya kolabo ya pamoja ni miaka minne iliyopita ambapo walikuwa bado wapo lebo ya WCB Wasafi na ngoma ilijulikana kama ‘Paranawe’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *