VIDEO: Kesi ya Wanananchi 1204 ya rudi Mahakamai

Kesi iliyofunguliwa na wananchi wa vijiji saba vilivyoko katika halimashuri ya Shinyanga dhidi ya serikali ikilenga kupinga agizo la kuondoka katika maeneo yao, imerejeshwa tena katika mahakama kuu kanda ya Shinyanga baada ya kuondolewa awali katika mahakama hiyo kutokana na waliofungua shauri hilo kuongezeka kutoka 705 hadi ,1204 huku shauri hilo likihairishwa kusikilizwa baada ya mawikili upande wa serikali kuwa na majukumu mengine.

Akizungumza mahakani hapo mara baada ya shuri hilo kuhairishwa wakili anayewawakilisha walalamikaji hao Chrispin Myeke amesema wamerudisha mahakamani shauri jipya lenye namba 72 ,2023 mbele ya jaji wa mahakama hiyo Ruth Massam huku akiainisha kuwa sheria inayolitambua eneo hilo kama hifadhi ya misitu ilirithiwa kutoka serikali ya kikoloni hivyo haikuangalia maslahiya wananchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *