Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Hotuba ya Rais Samia- Hanang

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi katika wilaya ya Hanang Mkoani Manyara kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko na kuiagiza waizara ya maji kuhakikisha huadu ma ya maji safi na salama inapatikana katika mji mdogo wa Katesh huduma ambayo miundombinu yake imeharibiwa na maporomoko ya tope kutoka mlima Hanang na kusababisha madhara kwa wananchi na mali zao.

Ametoa agizo hilo hii janaDesemba 7 akiwa katika viwanja vya shule ya msingi Katesh mara baada ya kuwatembelea wahanga wa tope hilo na kutoa maagizo kwa wizara mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *