VIDEO: Hii ndio historia ya Lulu Diva, itakutoa machozi

Jina lake ni Lulu Abass Silangwa.. aka Lulu Diva, huyu ni msanii wa muziki wa Bongo Flava na pia mfanyabiashara.

Lulu Diva ni miongoni mwa wasanii wa kike waliofanya mambo mengi, ikiwemo kushiriki mashindano ya urembo, kuwa video vixen, kucheza filamu na tamthilia na sasa anaimba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *