VIDEO: Dulla Makabila apata ajali

Msanii wa Singeli, Dulla Makabila amesimulia namna alivyopata ajali ya gari mara mbili kwa mkupuo ndani ya muda mchache.

Makabila amesimulipa kupitia ujumbe mfupi aliyoweka kwenye mtandao wa Instagram, na kusema ajali ya kwanza alipata wakati anaenda Mkoani Tanga kwenye shoo yake siku ya sikukuu ya Pasaka akiwa na gari yake aina ya Alphard, na kumlazimu kuchukua gari nyingine. Na alipofika Dar Es Salaam wakati anawahi Uwanja wa ndege akachugua gari aina ya IST ambapo walipofika Bunju wakapata ajali tena.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *