Tukio hili linaelezwa kufanyika siku kadhaa ambapo staa wa muziki Diamond Platnumz alikutana na baby mama wake Zari The Boss Lady huko Afrika Kusini ambapo Diamond alikuwa akijandaa kushoot.
Ikumbukwe Diamond kwa sasa anatajwa kuwa kwenye mahusiano na Zuchu, na Zari amefunga ndoa na mwanaume mwingine.