Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Afande Sele aangua kilio mtandaoni

Mfalme wa Rhymes Tanzania,Afande Sele leo Februari 23 2024 kupitia akaunti yake ya Instagram ameonekana akiimba kwa hisia mpaka kulia na zaidi ameonekana akimlilia Mtu ambaye tayari ametangulia mbele za haki.

Video hiyo yenye dakika moja na sekunde arobaini na nane imekua na mashairi ya kumkumbuka mtu ambaye alikua wa karibu kwake anayekumbuka mipango waliyokua nayo kabla.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *