Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Victor Simhen amekubali kuongeza mkataba Napoli

Mshambuliaji wa Napoli na mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Afrika, Victor Simhen amekubali kuongeza mkataba mpya klabuni hapo kwa mwaka mmoja zaidi mpaka 2026.

Mkataba huo mpya una kifungu cha kuachiwa (release clause) cha pauni milioni 112. Kwa maana hiyo Mnigeria huyo hataondoka klabuni hapo katika dirisha la usajili la Januari.

Osimhen alijiunga na SSC Napoli mwaka 2020 akitokea Lille ya Ufaransa kwa ada ya rekodi ya klabu hiyo ya Euro milioni 50.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *