Rapa Kanye West ameachia rasmi viatu vyake vipya viitwayo “Yeezy Pod Socks” ambayo vinauzwa kiasi cha shilingi 511, 000. Viatu hivyo ambayo hata yeye ni viatu vyake pendwa kwa sasa vinauzwa kupitia mtandao wake wa Yeezy,



Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!