Vanessa Mdee Akana Kuwa Na Ujauzito

Mwimbaji wa Bongofleva, Vanessa Mdee amekanusha uvumi kuwa hana ujauzito wa mtoto wa tatu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kujifungua mtoto wake wa pili Imani.


Kupitia mitandao wake wa kijamii wa Instagram(instastory) ameandika “No, I’m not pregnant, just full, on vacation and living in abundance let a belly hang. Not everybody is an edit Barbie.” ameandika Vanessa.


Vanessa na Mchumba wake Rotimi wamejaliwa watoto wawili ambao ni Seven aliyezaliwa 2021 na Imani mwaka 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *