Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda Mti wa kumbukumbu wakati wa uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama Mkoani Dodoma hii leo April 05, 2025.




Rais Samia pia alikata Utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama, Tume ya Utumishi na Nyumba za Makazi ya Majaji.


