Uwanja wa Uhuru wafungiwa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kutumika katika michuano ya ligi kutokana na kukosa vigezo vya kanuni na sheria za mpira wa miguu.


Kufuatia uamuzi huo, timu zote zinazotumia uwanja huo kwa michezo ya nyumbani zitalazimika kutumia uwanja mwingine mpaka uwanja huo utakapofanyiwa marekebisho na kukaguliwa na TFF.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *