UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi

Rais Samia Suluhu Hassan Amefanya Teuzi Tisa Ikiwemo Kuteua Mkuu Mpya Wa Mkoa Wa Shinyanga, Naibu Katibu Mkuu Ofisi Ya Makamu Wa Rais, Wakuu Wa Wilaya Za Lushoto Na Pangani, Wakurugenzi Watendaji Wa Halmashauri Na Makatibu Tawala.

Rais Samia Amemteua Anamringi Macha Kuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Akichukua Nafasi Ya Christina Mndeme Ambaye Ameteuliwa Kuwa naibu Katibu Mkuu,Ofisi Ya Makamu Wa Rais Muungano Na Mazingira.

Kabla Ya Kuteuliwa Kuwa Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Anamringi Macha Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *