Mnamo Novemba 2021 kampuni ya BALENCIAGA ilizua gumzo kwa kuingiza sokoni urembo wa hereni za kike, ambazo zina muundo wa kifuniko cha chupa ya maji na zilikuwa zikiuzwa Dola 460 sawa na Tsh/= 1,152,300.02.
Kwa sasa hereni hizo zinauzwa Dola 445 ambayo ni sawa na Tsh/= 1,114,725.02.
Swali ni je ? utatoa hela ununue herein hizi au utaacha??