Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya Iftari Ikulu jijini Dar Es Salaam na kufuturisha watu mbalimbalia wakiwemo wasanii wa muziki.

Na miongoni mwa matukio ni staa wa muziki Diamond Platnumz kukutana na Harmonize na Meneja wa Diamond Sallam SK.




