Staa wa Filamu Tanzania, Kajala Frida ambaye pia ni Mkwe wa Staa wa Muziki Tanzania Marioo, amepost picha akiwa kwenye ndege akisindikiza na ujumbe wa ‘Usinishauri Utanichanganya’ ujumbe ambao umetafsiriwa kwa namna tofauti na watu wengi huku wengine wakisema huenda ni ujumbe anaoupeleka kwa watu ambao wamekua wakimshauri juu ya kurudiana na aliyekua mpenzi wake Harmonize ‘Konde Boy’
Wewe unaoanaje?? Unaweza kushauri?