Staa wa muziki wa Bongo na CEO wa THE AFRICAN PRINCES Nandy ameweka wazi kutafutwa DM na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani Usher kwa ajili ya Remix ya wimbo wake wa Dah ambao amemshirikisha Alikiba.

Nandy ameshare chat zake na Usher katika ukurasa wake wa Instagram hapo jana usiku, ambapo mkali huyo ambapo amemuomba aweke Verse yake hivyo Dah Remix ya tatu inaweza kuja.



