Usher Raymond anataka kuwa sehemu ya muziki waAfrobeat

Staa wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani, Usher ameweka wazi dhamira yake ya  kuwa sehemu ya muziki wa Afrobeats Duniani.

Usher amefunguka hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Apple Music, huku ikiwa ni tayari ameshafanya kazi na waimbaji wa Nigeria, ambao ni Burna Boy na Pheelz.

Katika albamu yake mpya ya HomeComing, Usher  amemshikisha Burna Boy kwenye wimbo wa “Homecoming” na Pheelz kwenye “Ruin”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *