Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Usher kupanda na hawa?

Unaikumbuka Super Bowl 2022 ambapo stage ya Dr. Dre ilitawaliwa na rapa Eminem, Snoop Dogg, Kendrick Lamar, Mary J. Blige na 50 Cent na kutengeneza bonge moja ya shoo, sasa unaambiwa huwenda Super Bowl ya 2024, Usher anaweza kutinga kwenye stage na wasanii watano.

Wasanii hao ni Ludacris na Lil John, wamefanya ngoma ya ‘Yeah’ mwaka 2004, Alicia Keys wamefanya ngoma ya ‘My Boo’ 2004, Justin Bieber hawa walifanya ngoma moja 2010 inaitwa “Somebody To Love’, pia, Will.i.am, wao wamefanya OMG hii walifanya 2010, mwisho kabisa na mtu mzima Diddy wao walifanya ‘I Need A Girl’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *