Ngoma ya kwanza kwenye albamu mpya ya Staa wa muziki kutoka nchini Marekani, Usher, “Coming Home,” yenye nyimbo 20 amefanya na Burna Boy kutoka Nigeria. Na albamu hiyo inatarajiwa kutoka Ijumaa, tarehe 2 Februari mwaka huu.
Albamu hiyo pia ina wasanii kama Pheelz kutoka Nigeria pia kuna Summer Walker, 21 Savage, Jung Kook, H.E.R., Latto, na The-Dream.