USAID INATAKIWA IFE, NI WAHALIFU – MUSK

Bilionea, Elon Musk amesema Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), linatakiwa kufa kwakuwa ni la kihalifu.

Kauli hiyo, ameitoa baada ya Maafisa wawili wa USAID kujaribu kuwazuia Wafanyakazi wake (Musk), kuingia kwenye mifumo ya usalama ya USAID.

Bilionea huyo aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *