Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Upendo Peneza ahamia CCM

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA (mwaka 2015 hadi 2020) na Mweka Hazina wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Upendo Peneza amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Emmanuel Nchimbi jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *