Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Uongozi wa Simba SC wamsamehe Chama JR

Uongozi wa klabu ya soka ya Simba SC umemsamehe kiungo wake Clatous Chama na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.

Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya ugenini ya viporo Simba SC dhidi ya Mashujaa FC na Tabora United, mchezo wa Januari 31 hatakuwa sehemu ya mchezo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *