Kampuni ya Universal Music Group (UMG)imepata hisa nyingi katika lebo ya rekodi ya Mavin ambayo ipo nchini Nigeria iliypokuwa ikimilikiwa na Don Jazzy
Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, na bosi wa UMG Sir Lucian Grainge alisema waliosani na Mavin, unampa nafasi mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Mavin Don Jazzy na COO Tega Oghenejobo unawapa nafasi viongozi hao kuiendesha kampuni hiyo.
Mavini ina wasanii kama AyraStarr, Rema, Bayanni, Crayon, Magixx, Boys Spyce, DJ BigN na Lifes izeTeddy.