Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Unaweza kumtambua Take Off wa bandia

Msanii wa ubunifu wa sanamu, Mr Officials ameshare video fupi ya sanamu ya la aliyekuwa miongoni mwa wasanii wanaunda kundi la Migos, Takeoff aliyefariki kwa kupigwa risasi mnamo Novemba1,2022.  Watu wengi wameonesha kuvutiwa na muonekano wa ubora wa sanamu ya Takeoff ikilinganishwa na zile za wasanii wengine weusi.Wengi wamesifu upekee wa sanamu hilo, wakidai kuwa wasanii wengine wengi hawajatoka vizuri kama ilivyo kwa rapa TAKEOFF.

Katika video iliyoaachiwa na Mr Officials siku ya jana aliwaomba wapenzi wa mashabiki wa Takeoff watumie video ya sanamu hiyo kushiriki na walendwa wao wengine ambao walitamani kumuona Rapa TAKEOFF mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *