‘Unavailable’ yampaisha Davido

Ngoma ya ‘Unavailable’ ya mtu mzima Davido aliyoshirikisha Musa Keys imefikisha watazamaji Milioni 100 katika mtandao wa YouTube.

Ngoma hiyo ambayo ipo kwenye albamu ya Timeless ya Davido imefikisha mwaka mmoja tangu kutoka kwake na inakuwa kazi ya Nne kwa Davido kufikisha views zaidi ya Milioni 100 ikiungana na ngoma za #IF #FALL na #FIA ambazo zina watazamaji zaidi ya milioni 100 katika Mtandao wa You Tube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *