Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Unafanya mazoezi barabarani? Soma hii

Kama wewe ni mwanamazoezi basi kama ndugu yetu Iddi Banza zingatia mambo yafuatayo pindi ufanyapo mazoezi.

Moja kabisa ni mavazi… Kama unakimbia asubuhi au jioni basi vaa nguo za kumfanya dereva akuone Kwa urahisi Ili kuepusha ajali.

Mbili viatu! Hakikisha unachagua viatu vyenye soli ya juu .

Usivae kifaa Cha kusilizia Muziki masikioni. Kwani unakosa usikivu. Mfano njia ya Mwanza Road Ina magari makubwa sana hivyo ukivaa na ukashindwa kusikia yanayoendela nje ya muziki unaweza jikuta sehemu mbaya .

Kimbia upande wa kulia..Ikiwa mazoezi yako yanakulazimisha kutumia barabara ile ile inayotumiwa na magari, labda kwa kukosekana zile barabara za watembea kwa miguu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *