Umesikiliza Visit Bongo?

Albamu ya #harmonize ya Visit Bongo, tayari imetoka Usiku wa leo Novemba 24, na ina ngoma14 kati ya hizo ngoma zipatazo sita zimeshatoka tayari.

Hii ni albamu ya nne ya Harmonize, ambapo albamu ya kwanza ilitoka 2020 ‘Afro East’, ya pili 2021 “High School’,na ya tatu 2022 ‘Made For Us’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *