Miongoni mwa viatu ambavyo kwa sasa vijana wengi hasa wa kiume wamekuwa wakivaa ni hivi viatu ambavyo wenyewe wanaita Crocks, Na wengi upenda kuvaa vya rangi nyeusi.na bei ya viatu ni kuanzia Tsh/- 30,000 hadi 40,000 kulingana na eneo husika.

Miongoni mwa sifa za wavaaji viatu hivi ,wanatajwa kuwa ni mabishoo yani wale wazee wa bata, ila pia wanavaa suruali za kubana
Taja sifa zingine za wavaaji viatu hivi