Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

“Ukweli wangu unakukera zima Data”- Baraka

Staa wa muziki, Baraka The Prince ameweka wazi leo majira ya saa 8 mchana atongea ukweli wa mambo yote yanayoendelea ikiwemo kupakaziwa ubaya na kutaka ambaye hapendi ukweli anaoongea basi azime data kwa muda.

“Mimi sio malaika,Mimi sio Mtume wala Mimi sio Yesu au Manabii,Kinachonishangaza!!Kuhusu mashabiki wa msanii wenu plus Wadau na Watangazaji Walio nyuma ya Mgongo wake,Ukimzungumzia msanii wao wanakuja juu,Ukikwepa pia kumzungumzia wanakuja juu..So watu Kama Hawa niwaweke kundi gani?!!

Sasa basi Leo ni siku ya kuzungumza UKweli wote..Na kama unajua uKweli wangu waga unakukera Please zima Data 3 days kabisa,maana Najua uKweli wangu wa Leo Nitakukera mno ,Nimechoka kulimbikiziwa Ubaya Kila siku na Baadhi ya Panya Road Wadogo wadogo wenye nia na madhumuni mabovu juu ya career yangu ,Nimechoka Kuonekana Mbaya Hata Kama nimekosewa Mimi… Aisee Leo Ni siku ya kuongea uKweli wote Adi Media + journalists wanaonifanyia Figisu since 2016 Ninazo list zao na Matukio yote plus ushaidi..Leo Nitakuwa Live Saa 08:00 🕗 Pm kupitia Instagram page na YouTube yangu.”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *