Ukivaa hivi pia Ramadhani utapendeza

Mwezi wa Ramadhani unapokaribia, huwa  ni wakati mzuri wa kutafakari, sala, na kukusanyika na wapendwa wetu.

Ramadhani ni kipindi cha ufufuo wa kiroho na kujitolea zaidi. Lakini katika kufunga na maombi yetu, pia kuna fursa ya kusherehekea kwa aina  mtindo flani ya stara na yenye tija

Najua wengi wetu tumezoea kuvaa madera au bui bui mwezi mtukufu ila hiyo sio sababu pia ya kuacha kuvaa ukapendeza.

Na ndiyo maana tumeweka staili za mavazi hapa ambayo unaweza kuvaa kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani na ukapendeza zaidi huku ukiheshimu mila za mwezi huu mtukufu.

Haya ni mavazi ambayo unaweza kuvaa wakati wote kwenye mwezi hu una bado utakuwa umependeza na umekuwa mtu wa stara.

Unaweza vaa suruali ya jeans au kitambaa ambazo ni kubwa (Over size) na ukawa bomba. Pia unaweza kuvaa Shirt au T-shirt ambayo pia ni Over Size ukapendea bila kusahau hijab yako kuvaa kama uonavyo picha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *