Kikundi cha utafiti ndani ya Kituo cha Kimataifa cha mafunzo ya Michezo (CIES),kilichopo Neuchâtel, Uswisi kimetoa orodha ya wachezaji wenye thamani kubwa zaidi duniani na thamani zao kama inayoonekana kwenye Orodha yao hapa chini.
1️⃣ Jude Bellingham: €280M
2️⃣ Haaland: €255M
3️⃣ Vinicius: €241M
4️⃣ Rodrygo: €221M
5️⃣ Foden: €204M
6️⃣ Saka: €195M
7️⃣ Álvarez: €168M
8️⃣ Lamine Yamal: €141M
9️⃣ Odegaard: €136M
🔟 Wirtz: €134M
Timu yako ina fedha ya kumnunua mchezaji gani kati ya hawa?