Jambo La Leo

Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Ukifuatisha ndoa ya Jada itakuchosha

Jada Pinkett Smith, amesema hata iweje hawezi kuachana na mumewe, Will Smith, licha ya wanandoa hao kutengana tangu 2016.

Pinkett, amesema hayo kwenye podcast ya On Purpose ya Jay Shetty ,baada ya kusomewa ujumbe alioandika mumewe uliokuwa ukimpongeza kwa kuzinda kitabu chake cha ‘Worthy’, ambacho kimeeleza safari ya ndoa yao, ndipo bibiye alicheka na kusema “Ndiyo maana siwezi kuachana na huyo mcheshi.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *