Makamu wa Kwanza wa Rais TFF, Athuman Nyamlani amempokea Rais wa FIFA Gianni Infantino ambaye atakuwepo kwenye mchezo wa ufunguzi wa African Football League Simba SC vs Al Ahly ya Misri utakaochezwa leo uwanja wa Benjamin Mkapa
Mbali na ugeni huo pia kwenye ndimba la Mkapa kuna chumba cha marejeo ya picha za uwanjani (VAR) katika kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa African Football League kati ya Simba Sc na Al Ahly.